UA-45153891-1

Thursday, March 6, 2014

ALAMA 10 ZA KUKUONYESHA KWAMBA HUPENDI KUPATA MAFANIKIO



Si kweli kwamba kuna mtu ambaye hapendi kupata mafanikio,  ila ukiona alama hizi kumi kwako basi ujue unatakiwa kuwa makini.

LUPITA NYONG'O ALIVYOTUPIA INSTAGRAM BAADA KUPATA TUZO


Ni picha iliyozungumziwa sana kwenye mitandao hasa ya nchini Kenya. Lupita aliweka picha hiyo na kuandika yafuatayo:

Tuesday, March 4, 2014

BILL GATES NDIYE NAMBA 1 KWA UTAJIRI DUNIANI 2014

1. Bill Gates
Net Worth: $76 B
Source of wealth: Microsoft   

Kama ilivyo kawaida ya jarida la Forbes kutangaza  kila mwaka watu wanaoongoza kwa utajiri duniani, mwaka huu 2014 anayeongoza ni  Bill Gates wa kampuni ya Microsoft. Hawa ni wengine 9 kukamilisha kumi wa kwanza. 

ELOHOR AISIEN ASEMA ‘GOODBYE’ KWA MASHINDANO YA ‘MISS NIGERIA’

Elohor Aisien
 
Aliyekuwa muandaaji wa shindano ya Miss Nigeria Elohor Aisien chini ya kampuni ya The Elite Model Look, ameachia ngazi na kuachana na uandaaji wa shindano hilo ili kuwekeza nguvu zaidi katika kuandaa matukio ya kifahari zaidi chini ya kampuni yake inayoitwa ‘Prive’. Bi. Elohor Aisien alikabidhiwa haki za ubunifu na utawala na timu ya ‘Miss Nigeria’ July 2012 na kufanikiwa kuandaa shinano la Miss Nigeria 2013 lililowezesha kumpata mrembo Ms Ezinne Akudo.

MAMBO KUMI KUHUSU MWANDISHI WA SCRIPT ZA FILAMU ABDUL SIMBA


Abdul  simba ni mwandishi wa script za fimamu ambaye yuko kwenye mradi wa Swahiliwood  unaofanya  shughuri za utayarishaji wa filamu kwa hisani ya  watu wa Marekani kupitia USAID kwa kushirikiana na kituo cha mawasiliano cha Chuo kikuu cha  John Hopkins pamoja  na Proin Promotions ambao ni wasambazaji wa DVD.Haya ni mambo kumi kuhusu mwandishi huyo:

KARABANI, DJ NA MWANAMUZIKI ALIYEBADILIKA KUWA DIRECTOR WA FILAMU NCHINI TANZANIA

Karabani

“Mwanzoni ilikzuwa kama hobi. Tangu nikiwa mdogonilipenda sana filamu lakini sikufikilia kufanya kazi hii mpaka nilipojihisi kuuchoka  muziki”.  Anasema ‘Director’ huyo ambaye pia ni mtayarishaji wa filamu. Karabani ambaye mwanzoni alikuwa DJ, na baadae mtayarishaji wa muziki, aliona haitoshi na  kuanza utayarishaji wa video za muziki pia. 

CHIMAMANDA ADICHIE AWATAKA WANAHABARI WAMUITE ‘MISS’ BADALA YA ‘MRS’


Mwandishi wa vitabu Chimamanda Ngozi Adichie anayemiliki tuzo nyingi  katika tasnia hiyo, amewaonya  waandishi wa habari nchini Nigeria waache kumuita Mrs Chimamanda Esega, ambapo inasemekana Esega ni jina la ukoo la mume wake, badala yake watumie majina yake wakianza na neno ‘Miss’ yaani Miss Chimamanda Adichie.