.
Monday, July 22, 2013
Saturday, June 22, 2013
WALTER CHILAMBO NDANI-USIKU WA TUDD THOMAS
Wasanii mbalimbali wa muziki wa Bongo Flava na Hip Hop wameendelea kumuunga mkono Producer Tudd Thomas, mtayarishaji mahiri wa muziki hapa nchini Tanzania ili kunogesha tamasha la usiku wa Tudd Thomas litakalofanyika 30, 2013 ndani ya ukumbi wa Dar Live Mbagala.
Msanii Walter Chilambo ambaye alikuwa mshindi wa Bongo Star Search 2012, atafanya vitu vyake ndani ya tamasha hilo. Mwanamuziki huyo staa wa wimbo wa “Siachi” ameahidi kutoa ushirikiano mkubwa kwenye tamasha hilo na kutoa burudani ambayo itawakonga nyoyo mashabiki wake.
Walter anaungana na wasanii wengine wakali watakaokuwepo ambao ni Diamond, Chegge, Mwasiti, Marlaw, Linex, Scorpion Girls, Linah, Barnaba, Amin, Ally Nipishe, Izzo Business, Baba Levo, Godzilla, Queen Darlin, Recho, Makomando na wegine wengi, Ney wa mitego, Roma na Kala Jelemiah.
Pia watakuwepo wasanii maarufu wa filamu ambao ni pamoja na Elizabeth Michael “Lulu”, Jackline Wolper na Yusuph Mlela na Jack wa Chuz.
Friday, June 21, 2013
ELIZABETH MICHAEL “LULU” NDANI YA USIKU WA TUDD THOMAS
Elizabeth Michael “Lulu”
Msanii wa filamu Elizabeth Michael “Lulu” atakuwa miongoni mwa wasanii maarufu wa filamu watakaoungana na wasanii wa muziki kusindikiza tamasha kabambe la usiku wa Tudd Thomas litakalofanyika Juni 30, 2013 katika ukumbi wa Dar Live Mbagala Zakheem. Mastaa wengine wa filamu watakaokuwepo ni pamoja na Jackline Wolper, Yusuph Mlela na Jack wa Chuzi.
Tamasha hilo litakuwa ni kwa ajiri ya kuwakutanisha jukwaa moja wanamuziki, wasanii wa filamu na wa fani zingine ambao wamewahi kufanya kazi na mtayarishaji mahiri wa muziki hapa nchini Producer Tudd Thomas, pamoja na wengine wote ambao wako kwenye fani zinazohusu burudani na sanaa kwa ujumla. Kwa sasa Lulu anarekodi wimbo kwa Tudd Thomas amabao pia utakuwa sound track ya filamu yake ambayo iko jikoni.
Tamasha hilo litakuwa ni kwa ajiri ya kuwakutanisha jukwaa moja wanamuziki, wasanii wa filamu na wa fani zingine ambao wamewahi kufanya kazi na mtayarishaji mahiri wa muziki hapa nchini Producer Tudd Thomas, pamoja na wengine wote ambao wako kwenye fani zinazohusu burudani na sanaa kwa ujumla. Kwa sasa Lulu anarekodi wimbo kwa Tudd Thomas amabao pia utakuwa sound track ya filamu yake ambayo iko jikoni.
Saturday, June 15, 2013
Friday, June 14, 2013
DIAMOND AKIZUNGUMZIA MIZUKA ILIYOMFANYA AMVUTIE SIMU CHEGE ILI WAENDE KUREKODI WIMBO KWA TUDD THOMAS USIKU WA KUAMKIA MEI, 29, 2013
| With Tudd Thomas |
| Tukiweka mambo sawa...Nini kifanyike kuleta radha Muziki Mzuri.... |
| With Tudd Thomas & Chege |
| With Qboy Mnyama akinifahamisha kitu kiufasaha zaidi..... |
| Nikiwa na wasafi Photographer goes by the name Kisula...... akisikiliza demo baada ya kumaliza kufanya Nusu ya nyimbo hii..... |
| Ilikuwa mida ya alfajiri kabisa tukitoka studio tukiwa tumefanya nusu ya nyimbo.... si unajua vitu vizuri avihitaji haraka.....Inshallah siku nyingine tutamalizia mahakuli haya...... Pitia Blog Yako ya Kijanja This Is Diamond kupata updates zote kuhusu Ent..... Habari kutoka: www.thisisdiamond.com |
Thursday, June 13, 2013
SEMADAT
Habari wanamitandao ya kijamii!!!
DATSONGWRITER TZ Blog, sasa inaitwa SEMADAT (semadat.blogspot.com)
Facebook page itaendelea kuitwa Dat Songwrter Tanzania na twitter itaendelea kuitwa datsongwritertz.
Nawashukuru na endeleeni kututembelea.
DATSONGWRITER TZ Blog, sasa inaitwa SEMADAT (semadat.blogspot.com)
Facebook page itaendelea kuitwa Dat Songwrter Tanzania na twitter itaendelea kuitwa datsongwritertz.
Nawashukuru na endeleeni kututembelea.
R.I.P LANGA
Aminiel Aligaesha ambae ni Afisa Uhusiano wa hospitali ya Taifa
Muhimbili amethibitisha kwamba msanii Langa amefariki dunia June 13 2013
saa kumi na moja jioni baada ya kufikishwa hospitalini hapo toka juzi
jioni ambapo kutokana na sababu za kimaadili kwenye tiba, Muhimbili
hospitali hawawezi kusema rapper huyu alikua anaumwa nini bali ndugu
ndio wenye mamlaka ya kufanya hivyo.
Kwenye maelezo aliyoyatoa kwa millardayo.com Aminiel amesema Marehemu Langa alipokelewa kwenye idara ya wagonjwa ya dharura usiku wa kuamkia jana na kupatiwa huduma ambapo leo June 13 2013 ndio alihamishiwa kwenye chumba cha wagonjwa Mahututi na baadae kufariki dunia.
HIKI NDICHO ALICHOKIANDIKA LANGA AKITOA R.I.P KWA NGWEA SIKU KADHAA ZILIZOPITA..!
millardayo.com talkbongo.blogspot.com
Monday, June 10, 2013
OMMY DIMPOZ, MASHUJAA BAND NA KALA JEREMIAH WANG'ARA KILIMANJARO TANZANIA MUSIC AWARDS
Usiku wa jana ulikuwa ni usiku wa furaha sana kwa Mashujaa Band ambao
waliongoza kwa kuondoka na tuzo nyingi kuliko wasanii wengne. Mashujaa
ambao wanafanya vizuri na wimbo wao wa ''Kidole Risasi'' waliondoka na
kura 5 ikiwa ni pamoja na msanii bora wa kiume band Charz Baba, mtunzi
bora a mashari ya band Charz Baba, rapper bora wa band Furguson, wimbo
bora wa band Risasi Kidole na tuzo ya tano waliichukuwa kupitia category
ya band bora ya mwaka huku wakiwatupa kule Twanga Pepeta, Mapacha
Watatu na Msondo Ngoma
Wakati huo, upande wa hiphop, Kala Jeremiah aliondoka na tuzo tatu na
kuwaacha chini akina Fid Q,Stamina na wengineo, ambapo aliondoka na tuzo
ya msanii bora wa hiphop, mtunzi bora wa mashairi ya hiphop na wimbo
bora wa mwaka ''Dear God''
King Crrazy GK akitoa salam zake baaada ya kupigiwa shangwe la hatari alipopanda jukwaani kutoa tuzo ya mssanii bora wa Hiphop
Ommy Dimpoz nae, alisepa na tuzo tatu , wimbo bora wa kushirikiana ''me
and you'', video bora ya mwaka ''Baadae'' na wimbo bora wa bongo pop
Kutoka arusha, Jambo Squad waliwakilisha vizuri baada ya kuchukua tuzo ya kundi bora la muziki wa kizazi kipya
Mrisho Mpoto ameondoka na tuzo ya wimbo bora wenye vionjo vya asili ''chocheeni kuni''
Mtayarishaji boa wa mwaka ni Man Walter
Ben pol aliondoka n tuzo ya mtunzi bora wa muziki bongo fleva.
Wengine ni pamoja na Diamond ambae aliondoka na tuzo ya msanii bora wa
kiume na msanii bora wa kiumee bongo fleva. msanii anaechipukia ''Ally
Nipishe'', mtayarishaji anaechipukia ''Mensen Selector, wimbo bora wa
hiphop ''nasema nao'' Ney wa mitego, wimbo bora wa Zouk/Rhumba ''ni
wewe'' Amini, wimbo bora wa Africa mashariki ''Valu valu'' Chameleon,
msanii bora wa kike ''Jay Dee,
Friday, June 7, 2013
Subscribe to:
Posts (Atom)













