'EID- EL- HAJI' YAANGUKIA 'SIKU YA CHAKULA DUNIANI'
Eid-el-Haji imeangukia tarehe ya siku ya chakula duniani ambayo huazimishwa Octoba 16 kila
mwaka. Kauli mbiu ya siku ya chakula duniani mwaka huu 2013 ni 'Sustainable
Food Systems for Food Security and Nutrition'.
No comments:
Post a Comment