FLAVIANA MATATA AUKUBALI WIMBO WA 'HISTORIA' WA LADY JAYDEE
Ni baada ya kuona video ya wimbo huo ambayo imedondoshwa Youtube jana Februari 9, 2014. Jaydee ali'tweet' link ya video hiyo na watu wakaanza kutoa maoni yao ikiwa pamoja na mwanamitindo Flaviana Matata.
No comments:
Post a Comment