UA-45153891-1

Wednesday, April 2, 2014

TUNDAMANI ATAKIWA KUWA MZALENDO


Wakati vyombo kadhaa vya habari vikihubiri Uzalendo na Amani, msanii wa Bongo Flava ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Msambinungwa, ameonekana kuwa tofauti baada ya mwanadada mmoja anayeitwa Esta kuweka wazi kwamba picha za video ya wimbo huo hazikuchukuliwa  jijini Nairobi kama mwanamuziki huyo alivyosema, bali shughuri hiyo ilifanyika hapa hapa nchini Tanzania kwenye studio inayoongozwa na mwanadada huyo mjasiliamali. 

 Akiongea  kwa masikitiko kupitia segment ya Mhariri wa jarida la Makorokocho ya Clouds FM, mjasiliamali huyo amesema kilichomfanya aweke wazi ni msanii huyo kutomlipa pesa yake kwa ajili ya wafanyakazi walioshiriki katika huduma hiyo pamoja na gharama za vifaa vilivyotumika na pia kutoonyesha uzalendo kwa kutowaambia watanzania kwamba kazi hiyo nzuri imefanyika nchini mwao.

2 comments:

  1. There is one very interesting and strange event in Kenya! Julius Yego and other athletes summoned to record statements. It is real olympic fiasco! You can read more about it here: https://tuko.co.ke/181339-javelin-sensation-julius-yego-summoned-detectives.html

    ReplyDelete
  2. nice posr related celebrity TUNDAMANI ATAKIWA KUWA MZALENDO if you more update about celebrity visit our website: www.celebnetworth.net

    ReplyDelete