UA-45153891-1

Sunday, December 22, 2013

‘CELEBRITIES’ WA TANZANIA WALIOFUATWA NA IDADI KUBWA YA WATU KWENYE MTANDAO WA TWITTER MPAKA KUFIKIA DESEMBA 19, 2013



KUMI (10)  BORA  KATIKA  VIPENGELE   MBALIMBALI  

MUZIKI


MITINDO

HABARI

FILAMU


UJASILIAMALI, MAWASILIANO YA KIMASOKO NA UHUSIANO WA KIJAMII

SIASA

MICHEZO
Utafiti unaonyesha wanamuziki na wadau wengi wa muziki wako ndani ya mtandao huo wa Twitter na idadi ya wafuasi wao haijatofautiana sana ambapo hata yule aliyeshika nafasi ya zaidi ya 21 ambaye hakuingia top 10, bado ana wafuasi zaidi ya 10,000.

Pia wanahabari wengi, hasa watangazaji wanaonekana kuutumia mtandao huu kwa kiasi kikubwa.

Wanamichezo wengi  hawako katika mtandao huu na waliomo kwa kiasi kikubwa wana wafuasi wachache sana.

Utafiti umejitaidi sana kuchunguza ualali wa "Account' hizo kama kweli ndiyo wahusika wenyewe. Hata hivyo semadat inaomba ladhi kama itatokea ikawa siyo kwa baadhi ya 'Account' na hasa upande wa wanamichezo ambao walipatikana kwa shida sana.

Imetafitiwa na kuletwa kwako na DAT KAMUDA wa semadat.blogspot.com kupitia twitter.com/DatKamuda.