UA-45153891-1

Friday, December 6, 2013

KIFO CHA NELSON MANDELA: RIHANNA AONDOA PICHA YAKE KWENYE PROFILE YA TWITTER NA KUWEKA PICHA YA MANDELA



Mtandao maarufu wa chart za muziki unaoitwa ‘Billboard.com’ umezungumzia kifo cha Rais wa zamani wa Afrika Kusini Bw. Nelson Mandela usiku wa Desemba 5, 2013. Na muda mfupi baada ya taarifa hizo, mwanamuziki Rihanna ameondoa picha yake ya ‘Profile’ kwenye akaunti yake ya Twitter na kuweka picha ya kiongozi huyo mwanaharakati wa ukombozi wa  bara la Afrika.

Pia wanamuziki wengi kutoka pande mbalimbali za dunia wameguswa na kuandika kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na kifo cha kiongozi huyo maarufu. Hizi ni ‘Posts’ na ‘Comments’ za wanamuziki mbalimbali kwenye Twitter.



RIHANNA
“Nelson Mandela, you made your people proud!! We'll always love you for it!”
 Picha aliyoiweka Rihanna kwenye Akaunti yake ya Twitter


JENIFER LOPEZ
"It always seems impossible until it's done." Rest in Peace Nelson Mandela. You will be missed. #trueinspiration #peoplewhochangetheworld

ENRIQUE IGLESIAS
“The world has lost someone truly inspiring. Rest in peace Nelson Mandela”

LUDACRIS       
“Honored that I had a chance to meet this amazing influential being & to participate in his 46664 Aids…”

AKON
“A True Hero ... May you rest in peace”

MICHELLE WILLIAMS
“May your brave and courageous legacy NEVER be forgotten”

JORDIN SPARKS
“He truly was an angel on earth & now he can finally fly. RIP Mandela”

P. DIDDY
“Mandela stood for justice and truth!! Today the world lost a beautiful soul, fighter and true KING!!”

R. KELLY
“To the Mandela family, may God keep you in perfect peace at this time. For God has chosen a soldier.…"
Mwanamuziki R. Kelly akiwa na Mandela enzi za uhai wake

2 comments:

  1. Afrika na dunia nzima tumempoteza mtu muhimu sana mwana harakati na mkombozi wa Bara la Afrika

    ReplyDelete