UA-45153891-1

Wednesday, December 11, 2013

KAMCHEZO KALIKOENDELEA KATI YA RAIS OBAMA NA VIONGOZI WENGINE WAKATI WA KUMUAGA MANDELA, LEO DESEMBA 10, 2013

Haya ni maoni ya mtandao unaoitwa ‘Laila’ ambao umeandika habari hii: “They were obviously excited like teenagers while taking the shots beside US First Lady Michelle”.

Inafurahisha kweli kweli!!!. Kamera ya waandishi wa habari imewanasa Rais wa Marekani Barack Obama, waziri mkuu wa Uingereza David Cameron na waziri mkuu wa Dernmark Helle Thorning-Schmidt wakijifotoa picha ya kumbukumbu kimtindo au kwa Kiswahili cha vijana wa sasa unaweza kusema ki’design wakati wa tukio la kuaga mwili wa baba wa Taifa wa Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela lililowakutanisha viongozi wakubwa na mashuhuri kutoka pande zote za Dunia. Pembeni alionekana ‘First Lady’ wa Marekani Michelle Obama. 

No comments:

Post a Comment