UA-45153891-1

Tuesday, June 4, 2013

TAARIFA KAMILI KUTOKA KWENYE KAMATI YA MAZISHI YA NGWAIR KUHUSU KUWASILI KWA MWILI WA MAREHEMU


Msemaji wa Kamati ya Mazishi ya Ngwair Adam Juma,jana usiku ametoa taarifa rasmi kuhusu muda wa kuwasili kwa mwili wa marehemu Albert Mangwair.Adam alisema kuwa mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili Tanzania na ndege ya Shirika la Africa Kusini mida ya saa 8 mchana kwenye uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwl JK Nyerere Terminal II.Adam amewaomba Watanzania kujitokeza kuupokea mwili wa mpendwa wao marehemu Albert Mangwair.

HABARI kutokawww.annapita.com

No comments:

Post a Comment