Mwl Julius K. Nyerere
Wikipedia ni mtandao unazungumzia historia za vitu na watu kutokana na taarifa mbali mbali ambazo ziko wazi juu vitu hivyo na watu hao. Utambuzi wa mtandao huu kwa vitu na watu hutokana zaidi na umaarufu wa vitu au watu husika.
Watanzania wanaotambuliwa zaidi na mtandao huo ni Mwl Julius Nyerere , Benjamin Mkapa, Jakaya Kikwete , Gertrude Mongella , William F. Shija, Freeman Mbowe, Anna Abdallah , Anna Tibaijuka, Maida Abdallah, Salma Kikwete, Reginald Mengi, Laurean Rugambwa, Polycarp Pengo, Leonard Shayo.
Kwa upande wa wasanii na wanamitindo ni Dully Sykes , Bi Kidude, Cool James Joseph Haule (Professor Jay), Saida Karoli , Lady Jaydee , Joseph Mbilinyi (Mr. II), Rose Mhando ,Nakaaya Sumari , Flaviana Matata, Nancy Sumari na Mustafa Hassanali.
Hasheem Thabeet akiwa mwanamichezo pekee kwenye orodha hiyo.

No comments:
Post a Comment