Ni wiki inayosherehekewa duniani kote kwa kutambua umuhimu wa huduma kwa wateja na kuwazawadia watu ambao hutoa huduma bora kwa wateja wao. Makampuni na waajiri wengi hutumia fursa hii kuwapa motisha wafanyakazi na kuwaunganisha ili kuendelea kuwapa moyo wa ushirikiano. Kwa mwaka huu 2013, wiki hii imeanza Oktoba 7 na itamalizika Oktoba 11.
Kuna namna mbalimbali za ubunifu kuifanya wiki hii ikumbukwe na wafanyakazi ikiwa ni pamoja na kauli mbiu na matukio. Hivi ndivyo ilivyokutwa kwenye mtandao maalum uliobuniwa mahsusi kwa ajiri ya watu wenye mapenzi mema na wiki hii. Unaitwa "THE OFFICIAL CUSTOMER SERVICE WEEK SITE". www.csweek.com
No comments:
Post a Comment