UA-45153891-1

Thursday, September 12, 2013

D0KTA CHENI NI ‘NUMBER ONE’ KWA UTAJIRI WA MASTAA WA FILAMU BONGO?


Msanii wa Bongo Movie Mahsin Awadhi ‘Dk Cheni’ ni miongoni mwa wasanii, wenye mafanikio makubwa hapa nchini. Ametajwa kama msanii wa kwanza kwa utajiri kati ya mastaa wa kiume wa Bongo Movies.


Dk.  Cheni ambaye pia ni MC, ana mke na watoto 2, nyumba 2 , magari zaidi ya 15 na kituo cha mafuta. Ni mfanyabiashara mkubwa Tanzania ikiwemo biashara ya magari. Watu wengi wanamfahamu kama dereva wa Hiace na Pick up kabla hajaanza kuutumia muda wake mwingi kwenye sanaa na biashara zingine.

Dk. Cheni akiwa MC kwenye Harusi

No comments:

Post a Comment