UA-45153891-1

Friday, September 13, 2013

'NORA' KUJITOSA KWENYE UTANGAZAJI

Nuru Nassoro 'Nora'

Muigizaji wa kike aliyepata umaarufu mkubwa kupitia kundi la sanaa la Kaole, Nuru Nassoro ‘Nora’ alitangaza kuingia kwenye biashara ya utangazaji kupitia kipindi chake ambacho bado hajakitaja jina. Nora alisema atafanya vitu vingi ambavyo vitalenga jamii moja kwa  moja.

Nora anaungana na wasanii wengine wakiwemo wa filamu ambao wameshafanya vipindi kwenye Televisheni kama Rose Ndauka, Irene Uwoya, Wema Sepetu, Linah, Jaydee na wengine.
'Nora'

No comments:

Post a Comment