UA-45153891-1

Tuesday, September 17, 2013

FAHAMU WATU 10 WANAOONGOZA ULIMWENGUNI KWA KUWA NA MASHABIKI (Likes) NA (Follower) WENGI KWENYE KURASA ZAO ZA FACEBOOK NA TWITTER


Ni takwimu za  tarehe  15/09/2013, siku moja kabla ya habari hii.




FACEBOOK
-Wanamuziki waongoza, ni 8 kati ya 10
-Mwanasoka Cristiano Ronaldo na muigizaji Will Smith ndiyo wanaotokea fani tofauti na muziki
-Wanawake  na Wanaume wagawana nafasi 5 kwa 5
-Eminem na Rihanna wachuana vikali

S/N
JINA
KAZI
IDADI YA MASHABIKI(Likes)
1.
EMINEM
Mwanamuziki
75,859,366
2.
RIHANNA
Mwanamuziki
75,583,103
3.
SHAKIRA
Mwanamuziki
70,914,234
4.
MICHAEL JACKSON
Mwanamuziki
64,285,760
5.
CRISTIANO RONALDO
Mwanamichezo(SOKA)
60,418,833
6.
LADY GAGA
Mwanamuziki
59,147,629
7.
KATY PERRY
Mwanamuziki
57,324,978
8.
JUSTIN BIEBER
Mwanamuziki
56,687,274
9.
WILL SMITH
Muigizaji
51,641,259
10.
BEYONCE
Mwanamuziki
50,376,150

 Eminem
 Rihanna


TWITTER
-Wanamuziki wakamata nafazi 9 kati ya 10 
-Raisi Obama  ndiye mtu pekee hasiyekuwa mwanamuziki aliyeingia kati ya watu hawa 10
-Wanawake wawafunika wanaume,nafasi 7 kwa 3
-Britney na Rihanna wachuana vikali

  S/N           
JINA
KAZI
IDADI YA WANAOMFUATA (Followes)
     1.      
JUSTIN BIEBER
Mwanamuziki
44,533,474
    2.
KATY PERRY
Mwanamuziki
42,760,526
    3.
LADY GAGA
Mwanamuziki
40,114,547
    4.
BARACK OBAMA
Mwanasiasa
36,602,412
    5.
TAYLOR SWIFT
Mwanamuziki
34,041,600
    6.
BRITNEY SPEARS
Mwanamuziki
31,877,346
    7.
RIHANNA
Mwanamuziki
31,636,287
    8.
JUSTINE TIMBERLAKE
Mwanamuziki
25,736,904
    9.
JENNIFER LOPEZ
Mwanamuziki
23,557,001
  10.
SHAKIRA
Mwanamuziki
22,129,522

 Justin Bieber
 Katy Perry


No comments:

Post a Comment