UA-45153891-1

Thursday, September 12, 2013

'RAY C' AJIVUNIA STAILI YA 'RECHO'



Ray C

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Rehema Chalamila ‘Ray C’ ameahidi kurudi kwa kishindo kwenye gemu  kwa nyimbo kali. Msanii huyo ambaye anapika nyimbo zisizopungua 3 zinazorekodiwa kwa mtayarishaji mahiri wa muziki Tudd Thomas, atawashirikisha wasanii wengine kwenye baadhi ya nyimbo akiwemo Recho.


‘Ray C’ ambaye ni miongoni wa wanamuziki wa kike wa mwanzo wa Bongo Flava, anasema anajisikia vizuri na anapata nguvu zaidi kuona wasanii wengi wa kike wanaibuka kila kukicha na wanafanya vizuri akiwemo Recho wa THT ambaye anafuata nyayo zake kupitia staili aliyoianzisha yeye.

Recho

No comments:

Post a Comment