UA-45153891-1

Monday, January 13, 2014

DIAMOND AREKODIWA NA WEMA KITANDANI



Mastaa  wa Bongo ambao ni wapenzi, Wema Sepetu na Diamond Platnumz wameripotiwa na mtandao wa 'Global Publishers' wa nchini Tanzania kuwa, Diamond aliyekuwa akiandika mashairi, alisumbuliwa na Wema kwa kumrekodi huku akimtaka aweke mapozi tofautitofauti hali iliyomfanya ‘boyfriend’ wake huyo waliyerudiana siku chache zilizopita, apoteze umakini wa kuendelea kuandika mashairi.

No comments:

Post a Comment