UA-45153891-1

Tuesday, January 14, 2014

JE WAJUA KWANINI WIZKID ANAITWA JUSTIN BIEBER WA MUZIKI WA AFRIKA?



1.Alirekodi kwa mara ya kwanza akiwa na miaka 11.

2. Ni mwanamuziki wa Afrika anayefuatwa zaidi kwenye mitandao ya kijamii kwa mujibu wa 
utafiti wa Forbes na Channel 'O'.

 Mwanamuziki huyo wa Nigeria pia alikuwa miongoni mwa wanamuziki  10 walioongoza kwa utajiri barani Afrika (Most Bankable African artists) waliotangazwa na jarida la Forbes na Channel 'O' Septemba 2013.


No comments:

Post a Comment