UA-45153891-1

Thursday, January 16, 2014

DIAMOND KUIREJESHA ENDLESS FAME PRODUCTION YA WEMA SEPETU KAMA ILIVYOKUWA

Baada ya habari za hivi punde kwamba aliyekuwa mpenzi wake Wema Sepetu, ajulikanaye kama Clement amechukua kila kilichokuwa ndani ya ofisi ya Endless Fame Film Production inayomirikiwa na mwanadada huyo kwa sababu amerejesha upya mahusiano na mwanamuziki Diamond Platnumz, Diamond ameahidi kurejesha kila kitu. "Hata hivyo namshukuru Mungu, vitu vyote alivyochukua Clement baby(Diamond) kasema ataninunulia, wiki mbili hazitapita." Alinukuliwa Wema na gazeti la Amani linaloandikwa na kampuni ya Global Publishers ya nchini Tanzania. 

Ofisi hiyo  ilikuwa hivi kabla.










Wema Sepetu akiwa na Zamaradi Mketema

No comments:

Post a Comment