UA-45153891-1

Monday, January 13, 2014

MAMA YAKE BEYONCE ATIMIZA MIAKA 60



Wanafamilia na mastaa kibao walimpa kampani mwanamuziki Beyonce katika kumpongeza mama yake mzazi Tina Knowles ambaye alitimiza miaka 60 Januari 11, 2014.  Mastaa hao ni pamoja na mume wake ambaye ni Jay Z, rafiki zake,Jennifer Hudson, Monica, Kelly Rowland na wengine.
 

 Mama yake Beyonce, Tina akiwa na mpenzi wake wakirejea kwenye hafla ya siku hiyo ya kuzaliwa
 
Tina akiwa na Kelly na Monica
Monica na mume wake wakiwa na Jay-Z



No comments:

Post a Comment