UA-45153891-1

Tuesday, January 14, 2014

INGIZO JIPYA LA GARI AINA YA AUDI MWAKA 2014

Kampuni inayotengeneza magari aina ya Audi, imetoa toleo jipya. Mtandao unaoripoti juu ya masuala mbalimbali ya teknolojia wa gizmag.com umeandika kwamba gari hilo ni muendelezo wa gari aina ya Audi TT ambapo tofauti yake ni katika mfumo wa kisasa wa  'brake' unaoitwa 'Allroad Shooting Brake'.
Audi Allroad Shooting Brake

No comments:

Post a Comment