UA-45153891-1

Thursday, March 20, 2014

BONGO QUEEN LEO KATIKA SEMADAT


Leo tuko na muigizaji wa kike wa muda mrefu ambaye watu wengi wanamfahamu kama zao la kundi la Kaole, si mwingine bali ni Brandina Chagula 'Johari'. Ni miongoni mwa wasanii wa kike wanaofanya kazi kwa bidii ambaye pia ana hisa kwenye kampuni ya RJ inayoshughurika na utayarishaji wa filamu za Bongo.
Kwa sasa anazungumziwa sana katika vyombo vya habari na mitandao ya kijamii juu ya kile kinachosemekana kuwa ana uhusiano wa kimapenzi kiongozi wa Watanashati Entertainment  Ustadhi Juma na Musoma.

No comments:

Post a Comment