UA-45153891-1

Thursday, March 27, 2014

REDD'S MISS TANZANIA YAWAHASA MAWAKALA WAKE KUTOAHIDI ZAWADI BILA KUTOA

Mawakala wa Redd's Miss Tanzania wakiwa kwenye semina

Waandaaji na wadhamini wakuu wa shindano maarufu hapa nchini la Miss Tanzania, wamewahasa mawakala  wanaohusika na mashindano hayo ngazi za awali zikiwemo za vitongoji kutoahidi zawadi ambazo ni juu ya uwezo wao na hivyo kushindwa kutoa pindi washindi wanapopatikana.
Hiyo ni kufuatia matukio kadhaa yaliyotokea siku za nyuma ambapo wengine hushindwa kutimiza ahadi na kisha kujitetea kwamba hawakupata wadhamini wa kutosha.

No comments:

Post a Comment