UA-45153891-1

Saturday, March 8, 2014

SIKU YA WANAWAKE DUNIANI 2014, "USAWA NI MAENDELEO KWA WATU WOTE"


“Nchi  zenye usawa wa jinsia zina ukuaji mzuri wa uchumi, kampuni zenye viongozi wengi wa kike zinafanya vizuri,  makubaliano ya amani yanayohusisha wanawake yanadumu kwa muda mrefu, mabunge yenye wanawake wa kutosha yanakumbatia sana masuala ya kijamii ikiwa pamoja na afya, elimu,  kuondoa ubaguzi, kusaidia watoto. Imethibitika hivyo. Usawa kwa ajili  ya wanawake ni maendeleo kwa wote”.  



Haya ni maneno kutoka 'UN', na huyu ni mtanzania, mama wa watoto wawili wa kike.  ‘Happy  International Women’s  Day’.

1 comment:

  1. Kweli kabisa usawa kwa ajili ya wanawake ni maendeleo kwa wote na ukimuelimisha mwanamke umeelimisha jamii nzima na wanawake wanaweza.

    Asante sana SEMADAT kwa ujumbe huo

    ReplyDelete