Mrisho Mpoto: Mmoja wa watunzi maarufu wa mashairi nchini Tanzania
Machi 21 ni siku ambayo ilitambuliwa rasmi na Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni ‘UNESCO’ kuanzia mwaka 1999, kama siku ya Ushairi ulimwenguni. Umuhimu wa siku hii ni kuhamasisha usomaji, uandishi, uchapishaji na kufundisha ushairi ulimwenguni. Semadat inakutakieni heri ya siku ya ushairi duniani.
No comments:
Post a Comment