UA-45153891-1

Monday, March 24, 2014

HARUSI YA PAUL OKOYE WA P-SQUARE NA ANITA ISAMA ILIVYOKUWA HUKO NCHINI NIGERIA



Ilikuwa siku kubwa kwa Paul Okoye wa P-Squre na mpenzi wake wa muda mrefu Anita Isama katika Harusi ya kiutamaduni iliyofanyika wikend iliyopita, siku ya Jumamosi Machi 22, 2014. 

Upambaji wa ukumbi ulifanywa na wataalam wa fani hiyo nchini Nigeria wanaoitwa 'Wedding Guru' ambao pia ndiyo walihusika katika Harusi ya pacha wake Paul, yaani Peter, iliyofanyika mwishoni mwa mwaka 2013.  

Mastaa waliokuwepo katika Harusi hiyo ni pamoja muigizaji Omotola Jalade, wanamuziki Iyanya, Banky, Peter Okoye ambaye ni pacha wake Paul pamoja na kaka yao Jude Okoye. Tazama picha za kutosha hapa:

 Meza
 Peter, mtoto wa Peter anayeitwa Cameroon, na Wapambe wa Paul
 Killz  Ikechukwu, Iyanya, Ubi Franklin na Naeto C walikuwa miongoni mwa wapambe wa Paul
 Ini Edo
 Jude Okoye ambaye ni kaka wa Paul na Peter akiwa na Jimmy Jatt
 Julius Agwu na Naeto C
 Mmoja wa wazee waliofika kwenye harusi hiyo Kenny Ogungbe

 Lilian Esoro na Peter
 Funke Akindele, Omotola Jalade Ekeinde,mke wa Peter Lola Omotayo na Lilian
 Wapambe  kama kawaida
 Mastaa kibao MI, Darey, Mo Eazy pamoja na staa wa wimbo wa 'Yes No Yes' Banky W

Omotola Jalade

 Paul Okoye na Olamiju Alao Akala
 Richard Nnadi, bila  shaka huyu alikuwa kwenye kamati ya  ulinzi
 
 Uti na  Ini Edo
Huyu anaitwa Bracket
 Ukumbini
 Hapa na pale, ndani ya ukumbi

Picha ni kwa Hisani ya mtandao wa Bella Naija wa nchini Nigeria

No comments:

Post a Comment