UA-45153891-1

Monday, March 10, 2014

MANENO YA HAMASA KUTOKA KWA ‘CEOs’ WA MAKAMPUNI MATANO (5) YA TEKNOLOJIA DUNIANI



1.Mark Zuckerberg, CEO wa Facebook

“Swali moja ambalo huwa najiuliza kila siku ni kwamba, hivi nafanya kitu muhimu sana ambacho natakiwa kuwa nafanya?. Mpaka nijihisi kama nafanya kazi kutatua tatizo flani vinginevyo siwezi kujisikia vizuri kwa jinsi ninavyoutumia muda wangu”




2.Tim Cook, CEO wa Apple

“Maisha yalivyo, hatujui ya kesho, hivyo yape kila ulichonacho”






 


3.Michael Dell, CEO wa DELL

“Si lazima  kuwa ‘genius’ au hata ‘graduate’ kwa suala la kufanikiwa kwa kipato, unachohitaji tu ni ndoto na mipango”




 


4.Larry Page, CEO wa Google

“Unapokuwa unafanya mambo muhimu ambayo yanaweza kuibadilisha Dunia, kamwe hutajisikia kuendelea kulala mara tu kunapokucha”




 


5.Steve Ballmer, CEO wa Microsoft 
  
“Ubora wa makampuni kwa jinsi yanavyofanya kazi, huanzia kwa viongozi wa makampuni hayo”

 





No comments:

Post a Comment