UA-45153891-1

Friday, March 21, 2014

D' BANJ AZINDUA BIDHAA YAKE INAYOITWA KOKO GARRI


Mwanamuziki wa nchini Nigeria, star wa wimbo wa Oliver twist, ambaye ni miongoni mwa wanamuziki 10 bora matajiri barani Afrika kutokana na muziki na biashara zingine, amezindua bidhaa yake mpya inayoitwa Koko Garri. Bidhaa hiyo inayotokana na mazao ya kilimo imezinduliwa na mwanamuziki huyo jana Machi 20, 2014 ndani ya jiji la Abuja. 

 Ni bidhaa ya kwanza kutoka kwenye kampuni yake ya 'Koko Holdings'.


No comments:

Post a Comment