UA-45153891-1

Thursday, March 27, 2014

GARI ALILONUNUA MASANJA MKANDAMIZAJI


Mchekeshaji hodari hapa nchini Tanzania maarufu kama 'Masanja Mkandamizaji' ambaye ni miongoni mwa watanzania waliofanikiwa kupitia sanaa, amenunua gari hili, kama linavyoonekana kwenye picha hapa chini.


"Ni kwa neema za Mungu tu!", ndivyo alivyoandika jana jioni kwenye ukurasa wake wa Facebook akizungumzia  picha hiyo.

No comments:

Post a Comment