UA-45153891-1

Saturday, March 8, 2014

OPRAH ALIVYOWAKARIBISHA MAMA NA KAKA YAKE LUPITA KWA AJILI YA CHAKULA CHA MCHANA


Kama ilivyokuwa kwa mastaa wengi wa nchini Marekani na sehemu mbalimbali duniani kumpongeza muigizaji wa nchini Kenya Lupita Nyong’o ambaye alijinyakulia moja ya tuzo za Oscar,
Oprah Winfrey pia aliwakaribisha mama yake Lupita na kaka yake aitwaye Peter Nyong'o kwa ajili ya chakula cha mchana.




No comments:

Post a Comment