UA-45153891-1

Saturday, February 1, 2014

DOKTA SAID MABERA MPIGA GITAA LA SOLO ALIYEPIGIA MSONDO 1973 MPAKA SASA 2014

Dk. Said Mabera

"/Mabe, mabe, mabe, mabera/ Mabe, mabe, mabe, maberaaaaa/". Ni maneno yanayosikika mwishoni mwa wimbo mmoja huku gitaa la solo likilizwa ile mbaya. Si mwingine ni Dokta Said Mabela ambaye aliingia katika bendi hiyo akiwa mpiga Tarumbeta ingawa pia alikuwa tayari ni mkali wa kutekenya nyuzi. Alipoondoka mpiga gitaa hilo aliyekuwepo kabla, ndipo alipopewa nafasi na kujulikana yeye ni nani.

Bendi yake hupiga mara tatu mpaka nne kwa wiki na tangu mwaka 1973 ndiye mpigaji wa chombo hicho mpaka sasa. 

No comments:

Post a Comment