UA-45153891-1

Thursday, February 20, 2014

RIHANNA ATIMIZA MIAKA 26


Leo ni siku ya kuzaliwa ya mwanamuziki Rihanna wa nchini Marekani ambaye ametimiza miaka 26. Alizaliwa Februari 20, 1988. Fahamu mambo matano kuhusu yeye.


  • Ana nyimbo nyingi zilizompa umaarufu alizotoa katikati ya "Pon De Replay" na  "Diamonds" ikiwa pamoja na hizi zilizotajwa
  • Alishatajwa na jarida la Times kama mtu mwenye ushawishi mkubwa ulimwenguni mwaka 2012
  • Kama hasingejulikana na kufanikiwa kupitia muziki ilikuwa amsaidie baba yake kuuza nguo mitaani
  • Baba yake alikuwa tayari ameathirika na matumizi ya madawa ya kulevya wakati yeye bado mdogo
  • Baada ya mwanadada huyu kukosana na mpenzi wake Chris Brown alitoa album inayoitwa 'Good Girl Gone Bad'. 

         'HAPPY BIRTHDAY RIHANNA'





No comments:

Post a Comment