UA-45153891-1

Friday, February 7, 2014

NAKUPENDA TANZANIA NA NITAENDELEA KUKUPENDA- BY SEMADAT BLOG


Naishi, natumaini, najitolea Mtanzania/ Hakika ya Bendera, ndiyo uthabiti wangu/ Nyeusi ya mwananchi nayo Bluu ni ya maji / Kijani ni ya ardhi, na Njano ya madini/ Hakika mi ni Mtz, mwananchi mzalendo...

Inatokana na:

Naishi, natumaini, najitolea Daima Kenya/ Hakika ya Bendera, ndiyo uthabiti wangu/ Nyeusi ya mwananchi na Nyekundu ni ya damu / Kijani ni ya ardhi, Nyeupe ya amani/ Hakika mi ni Mkenya, mwananchi mzalendo...

Ni sehemu ya wimbo wa mwanamuziki wa nchini Kenya, Eric Wainaina. Kitanzania ingekuwa kama ilivyoandikwa hapo juu. Ni katika 'KUZIKUBALI KAZI ZA SANAA NA MATUMIZI YAKE'. Bila kujali wapi, nani na lini. Kama unafahamu wimbo huu, nawe jaribu kuimba kipande hicho kwa rangi za Bendera ya nchi yako.

No comments:

Post a Comment