UA-45153891-1

Tuesday, February 11, 2014

MREMBO HUYU ATABILIWA KUWA MWALIMU

Baada ya ukurasa wa Facebook wa Redio flani ya hapa nchini kurusha picha hii na kuuliza "Angekuwa mwalimu wako, ungependa akufundishe somo gani?" wafuasi wa ukurasa huo walitoa mitazamo yao ambapo wengi walitaja somo la Baiolojia. Bila shaka swali hili liliwalenga wanafunzi wa shule za msingi na  sekondari kwa kuwa masomo yao yanajulikana tofauti na ngazi zingine za elimu. Ni katika hapa na pale za semadat mitandaoni.

No comments:

Post a Comment