UA-45153891-1

Thursday, February 6, 2014

'HAPPY BIRTHDAY' KWA MWANASOKA CHRISTIANO RONALDO


 Ilivyokuwa katika siku yake ya kuzaliwa mwaka jana

Mchezaji bora wa dunia kwa sasa Christiano Ronaldo anashehekea siku yake ya kuzaliwa leo February 5. Mwanasoka huyo aneyechezea timu ya Real Madrid na timu ya Taifa ya Ureno, anatimiza miaka 29. Wachezaji wengine waliozaliwa siku kama ya leo ni pamoja na Neymar na Carlos Tevez.

Ronaldo anasherehekea siku ya kuzaliwa akiwa na kadi nyekundu ambayo amepewa siku chache zilizopita kwenye mechi kati ya Real Madrid na Athletic Bilbao.

No comments:

Post a Comment