UA-45153891-1

Saturday, February 1, 2014

MUIGIZAJI "NADIA" WA NCHINI GHANA AWASHUKURU WATU WA 'BLOGS' KWA KUMCHUKIA


Muigizaji wa kike wa nchini Ghana Nadia Buari ameandika kupitia mtandao wa Instagram kwamba anawashukuru watu hao kwa kumchukia na kwamba yeye anawapenda japo hakuwataja ni wa Blog zipi. 


Blog moja ya nchini Nigeria inayoitwa 'ladun liadi' imeandika kuhusu jambo hili na kuzitetea Blog za Nigeria kwamba wao ni watu wakuonyesha upendo kwa kila walifanyalo na kutoa maoni kwamba  mwanadada huyo atakuwa anawazungumzia Bloggers wa nchini kwao Ghana." 

"She must be referring to Ghanaian bloggers because all we do here in Nigeria is to show love! LOL", aliandika mwandishi wa ladun liadi's blog ya nchini Nigeria.

No comments:

Post a Comment