UA-45153891-1

Monday, February 3, 2014

HAPPYBIRTHDAY SHAKIRA WA "HIPS DONT LIE" 2 FEBRUARI



Leo February 2 ni siku ya kuzaliwa ya mwanamuziki Shakira ambaye ametimiza miaka 37. Alijulikana zaidi ulimwengu mzima kupitia wimbo wa 'Hips dont lie' ambao ulikuwa namba moja kwenye chart  za Billboard kwa kipindi ambacho ulitoka, pamoja na Album yake ya 'Pies Descalzos'

Pia wimbo wake wa Waka Waka (This Time for Africa) ulitizamwa kwenye U-tube mara milioni 500 na kuwa wimbo wa 7 duniani kwa kutizamwa na watu wengi kupitia mtandao huo kipindi hicho ulipotumika kwenye ufunguzi na mechi za kombe la dunia lililofanyika Afrika Kusini.

Mwanadada huyo ambaye alitangaza uhusiano na mcheza soka wa Hispania Gerald Pique mwaka 2011 alipata mtoto na mwanamichezo huyo  Januari 22, 2013 anayeitwa Milan Pque Mebarak.

1 comment: