UA-45153891-1

Thursday, February 6, 2014

IRENE KIWIA ALISHUKURU GAZETI LA 'THE CITIZEN' KWA KUZUNGUMZIA JUHUDI NA MAFANIKIO YAKE

Irene Kiwia

Mdau wa masuala ya Uhusiano na Habari ambaye pia ni kiongozi wa taasisi inayojihusisha na mafanikio ya kinamama ya 'Tanzania Women of Achievement' Irene Kiwia, amelishukuru gazeti la The Citizen kupitia ukurasa wake wa Facebook kwa kuandika makala inayohusu juhudi na  mafanikio yake kupitia kipengele cha gazeti hilo kinachoitwa 'Success'. Pia mwanadada huyo ni mzoefu katika masuala ya utangazaji na sanaa ya mitindo.

No comments:

Post a Comment