UA-45153891-1

Monday, February 10, 2014

MANGE KIMAMBI AMFAGILIA MTOTO WAKE

Mange Kimabi (Kulia) ni miongoni mwa 'Bloggers' maarufu wa kike hapa nchini Tanzania. Hapa yuko na mume na mtoto wake. Tazama alichosema kuhusu mwanae siku tatu zilizopita kupitia gazeti tanzu lake 'Blog yake'.


Haki ya nani hiki kitoto ni balaa.....

Leo nimekipeleka kwa Dentist wake in Beverly Hills for a routine check-up......

Jamani hivi mnajua watoto wanavyoliaga wakienda kwa doctor wa meno Kenzo ndo kwanza

alikuwa anapiga story unadhani yupo anacheza....Yani tulishangaaaaa, Dr. mwenyewe hakuamini....

Wakamwekea na movie ya kum keep busy hapo anaangalia movie haogopi kitu,

mie tu mama mtu na uzee wangu nikiingia kwa dentist huwa natamani kama nikimbie....lol

Anaangalia na hivyo vifaa wala ana wasiwasi,,,mie nikionaga hivyo vitu ndo huwa nadata....

Basi tukasema labda sasa hivi hatolia ila akianza kuchokonolewa meno atalia...

aaaah, wapi kidume cha mbegu hakijatoa machozi......

Aisee nimezaa mwanaume, tena mwanaume kweli.....lol...

 His teeth are healthy, no cavities, yeeeeaaah.Mommy and daddy are doing a great job

of keeping sweets away from him.....

No comments:

Post a Comment