UA-45153891-1

Thursday, February 13, 2014

MAJINA YA WATANGAZAJI WA RADIO TANZANIA MIAKA YA 70, 80 na 90



 Moja ya picha za kumbukumbu- Wanahabari wa Radio Tanzania kipindi hicho wakiwa na hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere

Ikiwa ni siku ya Redio duniani, hebu tujikumbushe majina ya watangazaji wa Zamani wa Radio Tanzania-RTD kati ya miaka ya 70s, 80s na 90s waliovuma katika Idhaa zetu za Kiswahili na Kiingereza kupitia Radio Tanzania Dar es salaam (RTD). Wakati huo radio zilizotumika alimaarufu kama redio za phillps, national, panasonic na Nationalpanasonic au maarufu kwa jina la dudu proof

Orodha ya Majina haya hapa:
  •     Abdallah Iddrissa Majura–Michezo
  •     Abdallah Mlawa—Kijaruba, Ombi lako
  •     Abdul Ngarawa -Taarifa ya Habari & Mazungumzo baada ya habari
  •     Abisai Steven
  •     Abou Liongo–Michezo
  •     Ahmed Jongo–(Mpira, na mnazi wa kutupwa wa yeboyebo)
  •     Ahmed Kipozi–Mpira
  •     Alex Malumwene
  •     Aloycea Maneno- Ombi lako, cheichei Shangazi, mama na mwana
  •     Ananilea Nkya Twende na Wakati, Jinsia, Utawala Bora, Harakati
  •     Bakari Msulwa- Salam
  •     Barbabas Mluge
  •     Bathoromeo Kombwa (bati Kombwa) – WAkati wa Kazi
  •     Bazir Mbakile
  •     Beni Kiko (“Benjamin Kikomongo”) jina lake halisi ni Bakari  Kikoloma. –Enzi za vita ya Nduli
  •     Benjamin Rwegasila
  •     Bety Mkwassa – Kabla hajahamia ITV
  •     Bhaat Kombwa–Wagonjwa mahospitalini, Wakati wa Kazi
  •     Bujago Izengo wa Kadago
  •     Charles Hillary–Mpira
  •     Chillambo Dominic—Mpira..”…Fuuumo Felician…Nafasi kama ile….”
  •     Chisunga Steven- kipindi cha ugua pole
  •     Chriss Katembo
  •     Christina Chokunogela
  •     David Wakati–Duniani Wiki Hii
  •     Deborah Mwenda–Mama na mwana–wanawake na maendeleo
  •     Dominic Chilambo- Mpira
  •     Edda Sanga
  •     Fauziah Ismal-Habari
  •     Hannah Gogo Mayige-Habari
  •     Harid Ponela – club raha leo show
  •     Hassan Mkumba- matangazo ya vifo
  •     Hendri Michael Libuda-  Misakato
  •     Iddi Rashid Mchata
  •     Idrisa Sadala
  •     Jacob Tesha–Habari
  •     Japhet Muura.
  •     Julius Nyaissanga–Club Raha Leo Show
  •     Juma Ngondai
  •     Khalid Ponera- Zilipendwa
  •     Kissunga Steven–Kwetu Kigoma
  •     Leonald Mambo Mbotela
  •     Malima Nderema
  •     Mariam Shabba–Mambo ya jamii
  •     Martha Ngwira
  •     Michael Katembo na vipindi vyake vya Mkoa kwa mkoa, Tumbuizo asilia, Ngoma, Asilia Salam
  •     Mohamed Abdullhamaan–Michezo
  •     Mohamed Amani (Mohamed Dahman)
  •     Mohamed Ngayonga–Mchana Mwema
  •     Mshindo Mkeyenge–MichezoMpira
  •     Nassoro Nsekeli
  •     Nassoro Nsekeli- alikuwa na sauti kama ya mafua hivi alikuwa mtaalamu wa kipindi cha Majira- ndiye aliyetangaza kifo cha Nico Zengekala
  •     Nazir Mayoka–Mpira
  •     Nswima Ernest – Nyanda za Juu Kusini
  •     Paschal Mayalla–Habari(anikumbushe mwenyewe ni mwana jukwaa)
  •     Penzi Nyamungumi = Fundi mitambo – Mtangazaji
  •     Peter Msungu–Mbili Kasoro
  •     Rashid Mchata
  •     Restuta Bukoli
  •     Richard Leo
  •     Rochus Matipa – External Service RTD
  •     Rose Haji
  •     Salama Mfamao
  •     Salim Mbonde–Mpira
  •     Salim Seif Nkamba –Mikingamo–twambie nani yuko wapi anafanya nini katika kuhujumu uchumi
  •     Sango Kipozi–Habari
  •     Sara Dumba–Mama na Mwana
  •     Sauda Simba maarufu kwa kutangaza taarifa ya habari ya lugha ya kiingereza.
  •     Sekioni Kitojo–Michezo
  •     Seleman Kumchaya–Mchana Mwema
  •     Selemani Mkufya
  •     Simba Nyamaume–Majira
  •     Siwatu Luwanda–Habari
  •     Stan (Stanslaus) Katabalo – cha Majira
  •     Suedi Mwinyi
  •     Suleiman Hega
  •     Suleiman Kumchaya
  •     Suleiman Muhogora
  •     Titus Philipo
  •     Titus Stephen
  •     Tumbo Risasi – Kigoma
  •     Zainab Bakilana
Chanzo: http://jewajua.com

4 comments:

  1. Ahsante Sana Yani hakika nimesoma majina yote nimekumbuka mbali sana, nimewakumbuka wengi Sana wengine walisha tangulia mbele ya haki, na wengine bado wapo hai mwenyezi mungu awazidishie yaliyomema. Ahsante Sana sana

    ReplyDelete
  2. Mimi naitwa Ssevara Limbe Yunza, nilizaliwa 1976, hakika nilikuwa mdogo lakini chipukizi nipendaye kusikilizwa vipindi vya RTD, taarifa ya habari, michezo, salaam, mkoa Kwa mkoa, shambani, salami za wagonjwa nk

    ReplyDelete
  3. Daaaah asee ....Nimekumbuka mbali mnoooo

    ReplyDelete
  4. Alhamdulillah, je tunaweza kupata wa miaka ya 1965

    ReplyDelete