UA-45153891-1

Thursday, February 6, 2014

KALA JEREMIAH- MPIGA PICHA ALIYEWAHI KUMPIGA PICHA MPIGA PICHA.......


“Mimi ndo mpiga picha niliyewahi kumpiga picha mpiga picha akiwapiga picha wapiga picha wakimpiga picha mpiga picha akiipiga picha picha ya mpiga picha”.  Ni maneno yaliyokutwa kwenye ‘Profile Header’ ya akaunti ya mtandao wa Twitter ya mwanahiphop Kala Jeremiah.

Kala ni staa pekee mwenye staili yake ya kuanza sentensi kwa herufi ndogo na kufuatiwa na herufi kubwa, kama alivyokuwa mwanamuziki wa kwanza wa Hiphop nchini Tanzania kuimba wimbo husiyokuwa na Kiitikio yaani ‘Chorus’.

‘Profile Header’  ya Kala kwenye Twitter
'Tweets' zake zilivyo

No comments:

Post a Comment