UA-45153891-1

Monday, February 10, 2014

J. MARTIN APATA MTOTO WA KIUME


 J.Martin akiwa na mke wake Nnezi Diana Mbila

Mke wa staa wa muziki wa Nigeria J. Martin, Nnezi Diana Mbila alijifungua mtoto wa kiume siku chache zilizopita katika hospitali ya Gwinnett Medical Centre ndani ya Atlanta Georgia nchini Marekani. Mtoto huyo ameshapewa jina na wazazi wake,  anaitwa Jason. J. Martin alisema mtoto na mama yake wako katika hali nzuri. 

J. Martin aliyeshirikishwa na wasanii wa Tanzania  AY/Mwana FA katika wimbo wa 'Cheza bila kukunja goti' na Ommy Dimpozi katika wimbo wa 'Tupogo', anatamba na wimbo wake mpya wa   'Touchin Body' aliomshirikisha Dj Arafat.

No comments:

Post a Comment