UA-45153891-1

Tuesday, February 25, 2014

WALTER CHILAMBO AMALIZA MKATABA WAKE NA ZANTEL


Mshindi wa Bongo Star Search 2012 Walter Chilambo amemaliza mkataba wake na kampuni ya simu ya Zantel ambao ndiyo mdhamini wa shindano hilo linafanyika kila mwaka chini ya kampuni ya Benchmark Production.
  Mshindi huyo aliondoka na zawadi ya shilingi za kitanzania milioni 50, pia amefanikiwa kurekodi nyimbo nne chini ya mkataba huo.

Walter alisema kwasasa yuko huru kufanya kazi na mtu yeyote ikiwa pamoja na makampuni washindani wa Zantel.

No comments:

Post a Comment