UA-45153891-1

Tuesday, February 4, 2014

HAPPYBIRTHDAY SEAN KINGSTON WA "BEAUTIFUL GIRLS", 3 FEBRUARY

 Sean Kingston akiwa kwenye moja ya magari yake

Mwanamuziki wa nchini Jamaica Sean Kingston ambaye alizaliwa mwaka 1990 leo Februari 3 ametimiza miaka 24. Sean Kingston alitambulishwa na wimbo wa 'Beautiful girls' na baadae kufuatiwa na nyimbo zingine nzuri. Star huyo wa Dancehall ambaye alienda kwenye nchi yake Jamaica kutokea Marekani akiwa na miaka sita, yuko  nchini Marekani kwa miaka saba sasa tangu aliporudi huko.

Hivi punde ametoa Album yake inayoitwa 'Back to life'. Anapenda sana magari na anamiliki magari zaidi ya manne ikiwa pamoja na aina ya Mulsanne, Bentley, G-Wagon pamoja na Range toleo la mwaka 2013.

No comments:

Post a Comment