UA-45153891-1

Saturday, February 1, 2014

LULU, JUSTIN BIEBER NA MASHABIKI NDANI YA 'FACEBOOK'

Muigizaji maarufu Elizabeth Micheael "Lulu" alisikika siku za nyuma akisema anavutiwa na mwanamuziki Justin Bieber na kama angepata nafasi ya kuzungumza nae angefunguka kikwelikweli. Pia mwaka jana mwezi Octoba, Lulu aliweka picha flani kwenye ukurasa wake wa Facebook na kuandika "My babiiiiiie" ambapo mashabiki wake walikuwa na maoni tofauti.
 Picha aliyoweka Lulu

Hata hivyo Lulu  hajazungumzia kilichomkuta staa huyo wa Marekani ambaye hivi punde amekamatwa kwa kosa la kuendesha  gari mwendo wa kasi na akiwa amelewa.

No comments:

Post a Comment