Siku ya ndoa duniani haina tarehe maalum lakini huazimishwa Jumapili ya pili ya mwezi wa pili (Februari) kila mwaka. Kwa mwaka huu wa 2014, siku hii imeangukia leo Februari 9. Sababu ya kuwapo kwa siku hii ni kuwapa heshima kubwa wanaume na wanawake ambao tayari wako katika hatua hiyo ya kuishi kama mume na mke, uhusiano ambao ndicho chanzo cha familia na jumuiya ya kwanza katika jamii. Dunia inatambua kujitoa kwao, ubora wa heshima kwa kila mmoja wao na furaha yao katika maisha yao ya kila siku. " Happy World Marriage Day" .
.
Monday, February 10, 2014
SIKU YA NDOA DUNIANI - JUMAPILI YA PILI YA MWEZI WA PILI
Siku ya ndoa duniani haina tarehe maalum lakini huazimishwa Jumapili ya pili ya mwezi wa pili (Februari) kila mwaka. Kwa mwaka huu wa 2014, siku hii imeangukia leo Februari 9. Sababu ya kuwapo kwa siku hii ni kuwapa heshima kubwa wanaume na wanawake ambao tayari wako katika hatua hiyo ya kuishi kama mume na mke, uhusiano ambao ndicho chanzo cha familia na jumuiya ya kwanza katika jamii. Dunia inatambua kujitoa kwao, ubora wa heshima kwa kila mmoja wao na furaha yao katika maisha yao ya kila siku. " Happy World Marriage Day" .
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment