UA-45153891-1

Tuesday, February 4, 2014

OMOTOLA NA STEPAPHANIE WAKIWA KWA MMOJA WA MABILIONEA WA NIGERIA 'TONY ELUMELU'


Bilionea wa nchini Nigeria Tony Elumelu amewakaribisha wawekezaji mbalimbali wa ndani na wa kigeni katika tuko maalum la kubadilishana mawazo juu ya masuala ya kibiashara. Miongoni mwa waliofika ni mastaa wa Nollywood, Omotola Jalade Ekeinde na Stephanie Linus.

 Omotola alionekana karibu kabisa na bilionea huyo akiwa ametupia gauni linaloonekana kuwa la kitenge la rangi ya kijani  "wearing iconic invanity creation made from green printed ankara", ndivyo ilivyoandika blog ya Laila ya nchini Nigeria.

No comments:

Post a Comment