UA-45153891-1

Friday, February 7, 2014

KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA HAYATI BOB MARLEY


Leo Februari 6, tunakumbuka siku ya kuzaliwa ya hayati Bob Marley, aliyekuwa mwanamuziki mashuhuri wa miondoko ya Reggae. Bob Marley alizaliwa  February 6, 1945, na kufariki dunia May 11, 1981 nchini Jamaica. Mungu ailaze roho yake mahali pema peponi. Amen.

No comments:

Post a Comment