Kama ilivyowai kuandika mwandishi mmoja wa mtandao unaoitwa 'Social Media today' kwamba tunakoelekea mitandao ya kijamii itakuwa kwa ajili ya kuonyesha badala ya kuandika hivyo kila mtumiaji atakuwa na Kamera ya picha za Still na ya Video, ndivyo anavyoonyesha muigizaji Elizabeth Michael 'Lulu'. Star huyo wa Bongo Movie ambaye hapitishi siku zaidi ya moja kabla hajasalimia na kuzungumza kwa picha na maneno mawili mpaka matatu tu kila siku kwenye ukurasa wake wa Facebook, Jana Jumanne Februari 25, 2014 alikuja kwa mtindo huo. Tazama zingine mbili za Jumapili na Jumatatu iliyopita na alivyoandika.
February 23 "Because I'm happy"
February 24 "Out fit...!!"
No comments:
Post a Comment