UA-45153891-1

Thursday, February 6, 2014

RIHANNA, COCA COLA (COKE) NA MIAKA 10 YA FACEBOOK


Mtandao maarufu nchini Facebook umetimiza miaka kumi jana, tangu uanzishwe February 4, 2004. Facebook imetimiza umri huo wakati  ukurasa wa mwanamuziki Rihanna ukiongoza kati ya watu wote ulimwenguni kwa kupendwa na watu 85,072,927 . Tukiachana na Facebook yenyewe, katika kurasa za majina ya vitu ikiwa pamoja na makampuni, Coca Cola (Coke) ndiyo inayoongoza mpaka sasa kupendwa na watu 79,357,679.

Afisa mtendaji mkuu wa Facebook Bw. Mark Zuckerberg amesema mtandao huo si kwa ajili ya watoto na vijana chini ya miaka 20 (Teens) tu, bali watu wote.
Ndivyo ilivyokuwa katika kusherehekea miaka 10 ya  Facebook jana Februari 4, 2014

No comments:

Post a Comment