UA-45153891-1

Tuesday, February 11, 2014

HARUSI ZA P-SQUARE - BAADA YA PETER SASA NI ZAMU YA PAUL

Paul wa P-square akiwa na mchumba wake Anita pamoja na mtoto wao

Kama ilivyokuwa kwa kaka yake Peter alivyofanya Novemba 17, 2013 alipomuoa  Lola Omotayo kwa harusi ya utamanudi wa asili yao, Paul sasa anajiandaa kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu na mama wa mtoto wake anayeitwa  Anita Isama. Harusi yao inatarajiwa kufanyika Machi 22, 2014.

Inasemekana mapacha hao pia watakuwa na harusi nyingine ya kawaida(White Wedding) itakayofanyika kwa pamoja.

No comments:

Post a Comment